in

Cry LOL Love OMG WTF

Orengo ashinda katika kesi aliyoisimamia ya kupinga ushindi wa Aden Duale kuwa mbunge wa Garissa mjini

Huenda kiongozi wa wengi katika bunge,Aden Duale akapoteza kiti chake cha ubunge cha Garissa mjini

Huenda Farah Maalim akashinda kesi dhidi ya Aden Duale kuhusiana na uamuzi uliofanya kortini hivi majuzi

Maalim ameruhusiwa kuingia kwenye mitambo za KIEMS zilizotumika katika uchaguzi wa ubunge wa Garissa mjini katika uchaguzi mkuu wa Agosti 8

CLICK HERE: To SUBSCRIBE to KDRTV on Youtube and Receive Kenyan News Updates

Maalimu aliwakilishwa na mawakili maarufu James Orengo na Dan Maanzo huku Duale akiwakilishwa na wakili Ahamednasir Abdullahi Ushindi wa Aden Duale wa kuwa mbunge wa Garissa mjini ulipingwa vikali na aliyekuwa naibu wa spika Farah Maalim.

Aden Duale Habari Nyingine: Rais Uhuru azua gumzo baada ya kuonekana na bunduki (picha)

Maalim kupitia kwa mawakili wake,James Orengo na Dan Maanzo alidai kuwa Duale alimubia kura na hivyo basi alitaka kupewa fursa ya kuingia katika mitambo ya KIEMS kuhakikisha iwapo uchaguzi huo ulifanywa kwa njia ya haki na huru.

CLICK HERE: To SUBSCRIBE to KDRTV on Youtube and Receive Kenyan News Updates

Jaji Hedwig Ong’udi aliamuru Ijumaa Oktoba 6, kuwa Maalum aruhusiwe kuingia katika mitambo za KIEMS na vifuniko vya masanduku ya kupigia kura vifunikwe upya mbele ya mawakili.

“Nataka vifaa vyote vya kupigia kura katika eneo mbunge la Garissa mjini viangaliwe kwa kina na naibu msajili wa mahakama ya Garissa kwa siku 7,”Jaji Ong’udi alisema.

Farah Maalim Habari Nyingine: Hii ndiyo sababu ya kushtusha inayomfanya pasta maarufu kuwataka Wakenya kusimama na Uhuru kwa maombi

Ong’udi pia aliwataka mawakili kufika katika mahakama ya Garissa kushuhudia shughuli ya kuhesabu kura tena na kuweka vifuniko vipya kwenye masanduku hayo ya kupigia kura.

CLICK HERE: To SUBSCRIBE to KDRTV on Youtube and Receive Kenyan News Updates

Haya yalijiri baada ya madai kuwa masanduku ya kupigia kura yalikuwa yameshafunguliwa bila idhini.

Maalim alipoteza kiti cha ubunge wa Garissa mjini kwa Aden Duale kupitia chama cha Jubilee katika uchaguzi wa Agosti 8.

Don’t Forget to CLICK HERE and SUBSCRIBE to KDRTV on Youtube and Receive Kenyan News Updates

Loading...

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Loading…

Drop a Comment Below

Uhuru to give out title deeds in Mombasa tour

2015 vacuum has lead to a collapse of corruption cases