in , ,

MWANASHERIA MKUU WA KENYA PROFESA GITHU MUIGAI AMEJIUZULU (TAARIFA ZAIDI)

Mwanasheria mkuu Profesa Githu Muigai Amejiuzulu kutoka wadhifa wake. Amekabidhi rais Uhuru Kenyatta barua yake ya kujiuzulu
Mwanasheria mkuu Profesa Githu Muigai Amejiuzulu kutoka wadhifa wake. Amekabidhi rais Uhuru Kenyatta barua yake ya kujiuzulu

Mwanasheria mkuu Profesa Githu Muigai Amejiuzulu kutoka wadhifa wake. Amekabidhi rais Uhuru Kenyatta barua yake ya kujiuzulu.

Rais Uhuru Kenyatta kupitia kwa mtandao wa Twitter amekiri kupokea barua ya kujiuzulu kwake Githu Muigai. Muigai amejingatua mamlakani baada ya miaka sita na nusu

DV6gNVHVwAAUxVT MWANASHERIA MKUU WA KENYA PROFESA GITHU MUIGAI AMEJIUZULU (TAARIFA ZAIDI)

Mwanasheria huyo amejiuzulu masaa machache tu kabla ya bunge la kitaifa kurejelea vikao vyake hivi leo Jumanne, Februari 13 baada ya likizo ya miezi miwili.

Wabunge vile vile wanatarajiwa kujadili ripoti ya kamati ya uteuzi ya bunge kuhusu watu tisa waliopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta.

HABARI ZAIDI ZAFUATA!

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Loading…

Drop a Comment Below

Written by RASHID EMI

RASHID EMI (+254 763 789 784) ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka KENYA na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya KENYA kila siku kupitia KDRTV.COM, TWITTER, FACEBOOK, INSTAGRAM na kwenye YOU TUBE.
Mbali na hayo, RASHID EMI. ni Mwigizaji na hupenda kukuza usanii.

ANC Vows to Support Musalia Mudavadi for Presidential Bid Come 2022.

UNEXPECTED TURN OF EVENTS: Kalonzo Says Raila’s Swearing In is Illegal